Mtaka yote hukosa yote,
Kwani Tamaa huangamiza.
Kuna mtu ambaye analilia ulichonacho,
Tafakari baraka zako Umshukuru Mungu.
Tahadhari kabla ya hatari,
Kwani Tamaa huangamiza.
Kuna mtu ambaye angejiona mfalme na ulichonacho,
Tafakari baraka zako Umshukuru Mungu.
Tabia ni ngozi ya mwili,
Kwani Tamaa hukuangamiza.
Kuna mtu ambaye alikipata kilchompata fisi,
Tafakari baraka zako Umshukuru Mungu.
Vina kwenye beti ni muhimu lakini haya na matumizi mazuri ya lugha
it is an interesting and informative article. This has been very helpful…. I am understanding a lot of things. Im sure a lot of other people will agree with me.